Mwanzo 9:12-13

Mwanzo 9:12-13 SWC02

Tena Mungu akasema: “Hiki ndicho kitambulisho cha agano ninalofanya kati yangu nanyi na kila kiumbe chenye uzima kinachokuwa pamoja nanyi kwa vizazi vyote vinavyokuja: ninaweka upinde wangu katika mawingu, nao utakuwa kitambulisho cha agano kati yangu na dunia.

Funda Mwanzo 9