1
Yohana 3:16
Neno: Maandiko Matakatifu
“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Yohana 3:16
2
Yohana 3:17
Kwa maana Mungu hakumtuma Mwanawe kuuhukumu ulimwengu, bali kupitia kwake ulimwengu upate kuokolewa.
Nyochaa Yohana 3:17
3
Yohana 3:3
Isa akamjibu, “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu anayeweza kuuona Ufalme wa Mwenyezi Mungu kama hajazaliwa mara ya pili.”
Nyochaa Yohana 3:3
4
Yohana 3:18
Yeyote amwaminiye hahukumiwi, lakini asiyeamini amekwisha kuhukumiwa, kwa sababu hakuliamini jina la Mwana pekee wa Mungu.
Nyochaa Yohana 3:18
5
Yohana 3:19
Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko nuru kwa sababu matendo yao ni maovu.
Nyochaa Yohana 3:19
6
Yohana 3:30
Yeye hana budi kuwa mkuu zaidi na mimi nizidi kuwa mdogo.”
Nyochaa Yohana 3:30
7
Yohana 3:20
Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe.
Nyochaa Yohana 3:20
8
Yohana 3:36
Yeyote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele, lakini yeye asiyemwamini Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mwenyezi Mungu itakuwa juu yake.”
Nyochaa Yohana 3:36
9
Yohana 3:14
Kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka kule jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu.
Nyochaa Yohana 3:14
10
Yohana 3:35
Baba anampenda Mwana, naye ametia vitu vyote mikononi mwake.
Nyochaa Yohana 3:35
Ebe Mmepe Nke Mbụ Nke Ngwá
Akwụkwọ Nsọ
Atụmatụ Ihe Ogụgụ Gasị
Vidiyo Gasị