Luka 10:36-37
Luka 10:36-37 ONMM
“Ni yupi basi miongoni mwa hawa watatu wewe unadhani ni jirani yake yule mtu aliyeangukia mikononi mwa wanyang’anyi?” Yule mtaalamu wa Torati akajibu, “Ni yule aliyemhurumia.” Ndipo Isa akamwambia, “Nenda, ukafanye vivyo hivyo.”