1
1 Wakorintho 14:33
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko bali ni Mungu wa amani. Kama ilivyo katika makusanyiko yote ya watakatifu
Linganisha
Chunguza 1 Wakorintho 14:33
2
1 Wakorintho 14:1
Fuateni upendo na kutaka sana karama za roho, hasa karama ya unabii.
Chunguza 1 Wakorintho 14:1
3
1 Wakorintho 14:3
Lakini anayetoa unabii anasema na watu akiwajenga, kuwatia moyo na kuwafariji.
Chunguza 1 Wakorintho 14:3
4
1 Wakorintho 14:4
Anenaye kwa lugha hujijenga mwenyewe, bali atoaye unabii huwajenga waumini.
Chunguza 1 Wakorintho 14:4
5
1 Wakorintho 14:12
Vivyo hivyo na ninyi. Kwa kuwa mnatamani kuwa na karama za rohoni, jitahidini kuzidi sana katika karama kwa ajili ya kuwajenga waumini.
Chunguza 1 Wakorintho 14:12
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video