1
1 Samweli 2:2
Neno: Bibilia Takatifu
“Hakuna yeyote aliye mtakatifu kama BWANA, hakuna mwingine zaidi yako; hakuna Mwamba kama Mungu wetu.
Linganisha
Chunguza 1 Samweli 2:2
2
1 Samweli 2:8
Humwinua maskini kutoka mavumbini na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; huwaketisha pamoja na wakuu na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya BWANA; juu yake ameuweka ulimwengu.
Chunguza 1 Samweli 2:8
3
1 Samweli 2:9
Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. “Si kwa nguvu mtu hushinda
Chunguza 1 Samweli 2:9
4
1 Samweli 2:7
BWANA humfanya mtu maskini naye hutajirisha, hushusha na hukweza.
Chunguza 1 Samweli 2:7
5
1 Samweli 2:6
“BWANA huua na huleta uhai, hushusha chini mpaka kaburini na hufufua.
Chunguza 1 Samweli 2:6
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video