1
1 Wathesalonike 5:16-18
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Furahini siku zote; ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo, kwa maana haya ndio mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu katika Al-Masihi Isa.
Linganisha
Chunguza 1 Wathesalonike 5:16-18
2
1 Wathesalonike 5:23-24
Mungu mwenyewe, Mungu wa amani, awatakase ninyi kabisa. Nanyi mhifadhiwe roho zenu, nafsi zenu na miili yenu, bila kuwa na lawama katika Bwana wetu Isa Al-Masihi. Yeye aliyewaita ni mwaminifu naye atafanya hayo.
Chunguza 1 Wathesalonike 5:23-24
3
1 Wathesalonike 5:15
Angalieni kuwa mtu asimlipe mwenzake maovu kwa maovu, bali siku zote tafuteni kutendeana mema ninyi kwa ninyi na kwa watu wote.
Chunguza 1 Wathesalonike 5:15
4
1 Wathesalonike 5:11
Kwa hiyo farijianeni na kujengana, kama vile mnavyofanya sasa.
Chunguza 1 Wathesalonike 5:11
5
1 Wathesalonike 5:14
Nasi twawasihi, ndugu, waonyeni walio wavivu, watieni moyo waoga, wasaidieni wanyonge na kuwavumilia watu wote.
Chunguza 1 Wathesalonike 5:14
6
1 Wathesalonike 5:9
Kwa maana Mungu hakutuita ili tupate ghadhabu bali tupate wokovu kupitia kwa Bwana wetu Isa Al-Masihi.
Chunguza 1 Wathesalonike 5:9
7
1 Wathesalonike 5:5
Ninyi nyote ni wana wa nuru na wana wa mchana. Sisi si wana wa giza wala wa usiku.
Chunguza 1 Wathesalonike 5:5
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video