1
2 Nyakati 7:14
Neno: Bibilia Takatifu
kama watu wangu, wanaoitwa kwa Jina langu, watajinyenyekesha na kuomba na kuutafuta uso wangu na kuacha njia zao mbaya, basi nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na nitaiponya nchi yao.
Linganisha
Chunguza 2 Nyakati 7:14
2
2 Nyakati 7:15
Sasa macho yangu yatafumbuka na masikio yangu yatasikiliza kwa makini maombi yaombwayo mahali hapa.
Chunguza 2 Nyakati 7:15
3
2 Nyakati 7:16
Kwa maana sasa nimechagua na kutakasa Hekalu hili ili kwamba Jina langu lipate kuwa huko milele. Macho yangu na moyo wangu utakuwepo huko daima.
Chunguza 2 Nyakati 7:16
4
2 Nyakati 7:13
“Wakati nitakapofunga mbingu ili isiwepo mvua, au nikiamuru nzige kula mazao ya nchi au nikituma tauni miongoni mwa watu wangu
Chunguza 2 Nyakati 7:13
5
2 Nyakati 7:12
BWANA akamtokea Solomoni usiku na kumwambia: “Nimesikia maombi yako nami nimechagua mahali hapa kwa ajili yangu mwenyewe kuwa Hekalu kwa ajili ya dhabihu.
Chunguza 2 Nyakati 7:12
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video