1
Waebrania 3:13
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini mtiane moyo mtu na mwenzake kila siku, maadamu inaitwa “Leo”, ili asiwepo hata mmoja wenu mwenye kufanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi.
Linganisha
Chunguza Waebrania 3:13
2
Waebrania 3:12
Ndugu zangu, chungeni asiwepo miongoni mwenu mtu mwenye moyo mwovu usioamini, unaojitenga na Mungu aliye hai.
Chunguza Waebrania 3:12
3
Waebrania 3:14
Kwa kuwa tumekuwa washiriki wa Al-Masihi, tukishikamana tu kwa uthabiti na tumaini letu la kwanza hadi mwisho.
Chunguza Waebrania 3:14
4
Waebrania 3:8
msiifanye mioyo yenu migumu, kama mlivyofanya katika uasi, wakati ule wa kujaribiwa jangwani
Chunguza Waebrania 3:8
5
Waebrania 3:1
Kwa hiyo ndugu watakatifu, mnaoshiriki mwito wa mbinguni, mtafakarini Isa, mtume na Kuhani Mkuu wa ukiri wetu.
Chunguza Waebrania 3:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video