1
Hosea 13:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Bali mimi ndimi Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, niliyewaleta ninyi toka Misri. Msimkubali Mungu mwingine ila mimi, hakuna Mwokozi isipokuwa mimi.
Linganisha
Chunguza Hosea 13:4
2
Hosea 13:14
“Nitawakomboa watu hawa kutoka nguvu za kaburi, nitawakomboa kutoka mautini. Yako wapi, ee mauti, mateso yako? Uko wapi, ee Kuzimu, uharibifu wako? “Sitakuwa na huruma
Chunguza Hosea 13:14
3
Hosea 13:6
Nilipowalisha, walishiba, waliposhiba, wakajivuna, kisha wakanisahau mimi.
Chunguza Hosea 13:6
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video