1
Isaya 50:4
Neno: Bibilia Takatifu
BWANA Mwenyezi amenipa ulimi uliofundishwa, ili kujua neno limtegemezalo aliyechoka. Huniamsha asubuhi kwa asubuhi, huamsha sikio langu lisikie kama mtu afundishwaye.
Linganisha
Chunguza Isaya 50:4
2
Isaya 50:7
Kwa sababu BWANA Mwenyezi ananisaidia, sitatahayarika. Kwa hiyo nimekaza uso wangu kama jiwe la gumegume, nami ninajua sitaaibika.
Chunguza Isaya 50:7
3
Isaya 50:10
Ni nani miongoni mwenu amchaye BWANA, na kulitii neno la mtumishi wake? Yeye atembeaye gizani, yeye asiye na nuru, na alitumainie jina la BWANA, na amtegemee Mungu wake.
Chunguza Isaya 50:10
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video