1
Isaya 64:4
Neno: Bibilia Takatifu
Tangu nyakati za zamani hakuna yeyote aliyesikia, hakuna sikio lililotambua, hakuna jicho lililomwona Mungu mwingine ila wewe, anayetenda mambo kwa ajili ya wale wamngojeao.
Linganisha
Chunguza Isaya 64:4
2
Isaya 64:8
Lakini, Ee BWANA, wewe ndiwe Baba yetu. Sisi ni udongo, wewe ndiye mfinyanzi; sisi sote tu kazi ya mkono wako.
Chunguza Isaya 64:8
3
Isaya 64:6
Sisi sote tumekuwa kama mtu aliye najisi, nayo matendo yetu yote ya uadilifu ni kama matambaa machafu; sisi sote tunasinyaa kama jani, na kama upepo maovu yetu hutupeperusha.
Chunguza Isaya 64:6
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video