1
Isaya 64:4
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Tangu nyakati za zamani hakuna yeyote aliyesikia, hakuna sikio lililotambua, hakuna jicho lililomwona Mungu mwingine ila wewe, anayetenda mambo kwa ajili ya wale wamngojeao.
Linganisha
Chunguza Isaya 64:4
2
Isaya 64:8
Lakini, Ee Mwenyezi Mungu, wewe ndiwe Baba yetu. Sisi ni udongo, na wewe ndiwe mfinyanzi; sisi sote tu kazi ya mkono wako.
Chunguza Isaya 64:8
3
Isaya 64:6
Sisi sote tumekuwa kama mtu aliye najisi, nayo matendo yetu yote ya uadilifu ni kama matambaa machafu; sisi sote tunasinyaa kama jani, na kama upepo maovu yetu hutupeperusha.
Chunguza Isaya 64:6
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video