1
Mathayo 11:28
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
Linganisha
Chunguza Mathayo 11:28
2
Mathayo 11:29
Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha katika nafsi zenu.
Chunguza Mathayo 11:29
3
Mathayo 11:30
Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”
Chunguza Mathayo 11:30
4
Mathayo 11:27
“Nimekabidhiwa vitu vyote na Baba yangu: Hakuna mtu amjuaye Mwana ila Baba, wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana na yeyote ambaye Mwana anapenda kumfunulia.
Chunguza Mathayo 11:27
5
Mathayo 11:4-5
Isa akajibu, “Rudini mkamwambie Yahya yale mnayosikia na kuyaona: Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa Habari Njema.
Chunguza Mathayo 11:4-5
6
Mathayo 11:15
Yeye aliye na masikio, na asikie.
Chunguza Mathayo 11:15
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video