1
Mika 3:8
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini mimi nimejazwa nguvu, nimejazwa Roho wa Mwenyezi Mungu, haki na uweza, kumtangazia Yakobo kosa lake, na Israeli dhambi yake.
Linganisha
Chunguza Mika 3:8
2
Mika 3:11
Viongozi wake wanahukumu kwa rushwa, na makuhani wake wanafundisha kwa malipo, nao manabii wake wanatabiri kwa fedha. Hata hivyo wanamwegemea Mwenyezi Mungu na kusema, “Je, Mwenyezi Mungu si yumo miongoni mwetu? Hakuna maafa yatakayotupata.”
Chunguza Mika 3:11
3
Mika 3:4
Kisha watamlilia Mwenyezi Mungu, lakini hatawajibu. Wakati huo atawaficha uso wake kwa sababu ya uovu waliotenda.
Chunguza Mika 3:4
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video