1
Obadia 1:17
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Lakini katika Mlima Sayuni kutakuwa na wale watakaookoka; nao utakuwa mtakatifu, nayo nyumba ya Yakobo itamiliki urithi wake.
Linganisha
Chunguza Obadia 1:17
2
Obadia 1:15
“Siku ya Mwenyezi Mungu iko karibu kwa mataifa yote. Kama ulivyotenda, nawe utatendewa vivyo hivyo, matendo yako yatakurudia juu ya kichwa chako.
Chunguza Obadia 1:15
3
Obadia 1:3
Kiburi cha moyo wako kimekudanganya, wewe unayeishi katika mapango ya miamba na kufanya makao yako juu, wewe unayejiambia mwenyewe, ‘Ni nani awezaye kunishusha chini?’
Chunguza Obadia 1:3
4
Obadia 1:4
Ingawa unapaa juu kama tai na kufanya kiota chako kati ya nyota, nitakushusha chini kutoka huko,” asema Mwenyezi Mungu.
Chunguza Obadia 1:4
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video