1
Zaburi 31:24
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kuweni hodari na mjipe moyo, ninyi nyote mnaomtumaini Mwenyezi Mungu.
Linganisha
Chunguza Zaburi 31:24
2
Zaburi 31:15
Siku za maisha yangu ziko mikononi mwako, uniokoe mikononi mwa adui zangu na wale wanifuatiao.
Chunguza Zaburi 31:15
3
Zaburi 31:19
Tazama jinsi wema wako ulivyo mkuu, uliowawekea akiba wanaokucha, unaowapa wale wanaokukimbilia machoni pa watu wote.
Chunguza Zaburi 31:19
4
Zaburi 31:14
Lakini mimi ninakutumaini wewe peke yako, Ee Mwenyezi Mungu; nimesema, “Wewe ndiwe Mungu wangu.”
Chunguza Zaburi 31:14
5
Zaburi 31:3
Kwa kuwa wewe ni mwamba wangu na ngome yangu, uniongoze na kunilinda kwa ajili ya jina lako.
Chunguza Zaburi 31:3
6
Zaburi 31:5
Ninaikabidhi roho yangu mikononi mwako, unikomboe Ee Mwenyezi Mungu, uliye Mungu wa kweli.
Chunguza Zaburi 31:5
7
Zaburi 31:23
Mpendeni Mwenyezi Mungu ninyi watakatifu wake wote! Mwenyezi Mungu huwahifadhi waaminifu, lakini wenye kiburi huwalipiza kikamilifu.
Chunguza Zaburi 31:23
8
Zaburi 31:1
Ee Mwenyezi Mungu, nimekukimbilia wewe, usiache nikaaibika kamwe, kwa haki yako uniokoe.
Chunguza Zaburi 31:1
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video