Lakini upinde wake ukakaa imara,
Mikono yake ikapata nguvu,
Kwa mikono ya Mwenye Enzi wa Yakobo;
Kwa jina la mchungaji, yeye jiwe la Israeli,
Naam, kwa Mungu wa baba yako atakaye kusaidia;
Kwa mibaraka ya mbinguni juu.
Mibaraka ya vilindi vilivyo chini,
Mibaraka ya maziwa, na ya mimba.