1
Zab 2:8
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
Uniombe, nami nitakupa mataifa kuwa urithi wako, Na miisho ya dunia kuwa milki yako.
Linganisha
Chunguza Zab 2:8
2
Zab 2:12
Shikeni yaliyo bora, asije akafanya hasira Nanyi mkapotea njiani, Kwa kuwa hasira yake itawaka upesi; Heri wote wanaomkimbilia.
Chunguza Zab 2:12
3
Zab 2:2-3
Wafalme wa dunia wanajipanga, Na wakuu wanafanya shauri pamoja, Juu ya BWANA, Na juu ya masihi wake, Na tuvipasue vifungo vyao, Na kuzitupia mbali nasi kamba zao.
Chunguza Zab 2:2-3
4
Zab 2:10-11
Na sasa, enyi wafalme, fanyeni akili, Enyi waamuzi wa dunia, mwadibiwe. Mtumikieni BWANA kwa kicho, Shangilieni kwa kutetemeka.
Chunguza Zab 2:10-11
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video