1
Mathayo 25:40
Swahili Revised Union Version
Na Mfalme atajibu, akiwaambia, Amin, nawaambia, kadiri mlivyomtendea mmojawapo wa hao ndugu zangu walio wadogo, mlinitendea mimi.
Linganisha
Chunguza Mathayo 25:40
2
Mathayo 25:21
Bwana wake akamwambia, Vema, mtumwa mwema na mwaminifu; ulikuwa mwaminifu kwa machache, nitakuweka juu ya mengi; ingia katika furaha ya bwana wako.
Chunguza Mathayo 25:21
3
Mathayo 25:29
Kwa maana kila mwenye kitu atapewa, na kuongezewa tele; lakini asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyang'anywa.
Chunguza Mathayo 25:29
4
Mathayo 25:13
Basi kesheni, kwa sababu hamwijui siku wala saa.
Chunguza Mathayo 25:13
5
Mathayo 25:35
kwa maana nilikuwa na njaa, mkanipa chakula; nilikuwa na kiu, mkaninywesha; nilikuwa mgeni, mkanikaribisha
Chunguza Mathayo 25:35
6
Mathayo 25:23
Chunguza Mathayo 25:23
7
Mathayo 25:36
nilikuwa uchi, mkanivika nilikuwa mgonjwa, mkaja kunitazama; nilikuwa kifungoni, mkanijia.
Chunguza Mathayo 25:36
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video