1
Zaburi 95:6-7
Swahili Revised Union Version
Njoni, tuabudu, tusujudu, Tupige magoti mbele za BWANA aliyetuumba. Kwa maana ndiye Mungu wetu, Na sisi tu watu wa malisho yake, Na kondoo za mkono wake. Ingekuwa heri leo msikie sauti yake!
Linganisha
Chunguza Zaburi 95:6-7
2
Zaburi 95:1-2
Njoni, tumwimbie BWANA, Tumfanyie shangwe mwamba wa wokovu wetu. Tuje mbele zake kwa shukrani, Tumfanyie shangwe kwa zaburi.
Chunguza Zaburi 95:1-2
3
Zaburi 95:3
Kwa kuwa BWANA ni Mungu mkuu, Na Mfalme mkuu juu ya miungu yote.
Chunguza Zaburi 95:3
4
Zaburi 95:4
Mkononi mwake zimo bonde za dunia, Hata vilele vya milima ni vyake.
Chunguza Zaburi 95:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video