1
Ufunuo 2:4
Swahili Revised Union Version
Lakini nina neno juu yako, ya kwamba umeuacha upendo wako wa kwanza.
Linganisha
Chunguza Ufunuo 2:4
2
Ufunuo 2:5
Basi, kumbuka ni wapi ulikoanguka; ukatubu, ukayafanye matendo ya kwanza. Lakini, usipofanya hivyo, naja kwako, nami nitakiondoa kinara chako katika mahali pake, usipotubu.
Chunguza Ufunuo 2:5
3
Ufunuo 2:10
Usiogope mambo yatakayokupata; tazama, huyo Ibilisi atawatupa baadhi yenu gerezani ili mjaribiwe, nanyi mtakuwa na dhiki siku kumi. Uwe mwaminifu hata kufa, nami nitakupa taji la uzima.
Chunguza Ufunuo 2:10
4
Ufunuo 2:7
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye, nitampa kula matunda ya mti wa uzima, ulio katika bustani ya Mungu.
Chunguza Ufunuo 2:7
5
Ufunuo 2:2
Ninayajua matendo yako, na taabu yako, na subira yako, na ya kuwa huwezi kuchukuliana na watu wabaya, tena umewajaribu wale wanaojiita mitume, nao sio, ukawaona kuwa waongo
Chunguza Ufunuo 2:2
6
Ufunuo 2:3
tena ulikuwa na subira na kuvumilia kwa ajili ya jina langu, wala hukuchoka.
Chunguza Ufunuo 2:3
7
Ufunuo 2:17
Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho anayaambia makanisa. Yeye ashindaye nitampa baadhi ya ile mana iliyofichwa, nami nitampa jiwe jeupe, na juu ya jiwe hilo limeandikwa jina jipya asilolijua mtu ila yeye anayelipokea.
Chunguza Ufunuo 2:17
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video