1
Ufunuo 1:8
Swahili Revised Union Version
Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Linganisha
Chunguza Ufunuo 1:8
2
Ufunuo 1:18
na aliye hai; nami nilikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele. Nami ninazo funguo za mauti, na za kuzimu.
Chunguza Ufunuo 1:18
3
Ufunuo 1:3
Heri asomaye na wao wayasikiao maneno ya unabii huu, na kuyashika yaliyoandikwa humo; kwa maana wakati uko karibu.
Chunguza Ufunuo 1:3
4
Ufunuo 1:17
Nami nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kulia juu yangu, akisema, Usiogope, Mimi ni wa kwanza na wa mwisho
Chunguza Ufunuo 1:17
5
Ufunuo 1:7
Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na makabila yote ya dunia yataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina.
Chunguza Ufunuo 1:7
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video