1
Marko 4:39-40
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Kisha akainuka, akaukemea upepo, na akaliamuru ziwa, “Nyamaza Kimya! Tulia!” Upepo ule ukatulia na ziwa nalo likatulia kabisa. Kisha akawaambia, “Kwa nini mnaogopa? Je! Bado hamna imani yoyote?”
Linganisha
Chunguza Marko 4:39-40
2
Marko 4:41
Lakini walikuwa na woga sana, na wakasemezana wao kwa wao, “Ni nani basi huyu ambaye hata upepo na ziwa vinamtii?”
Chunguza Marko 4:41
3
Marko 4:38
lakini Yesu alikuwa amelala nyuma ya mtumbwi akiegemea mto. Wakamwaamsha na kumwambia, “Mwalimu je wewe hujali kwamba tunazama?”
Chunguza Marko 4:38
4
Marko 4:24
Kisha akawaambia, “Zingatieni kwa makini kile mnachokisikia. Kwani jinsi mnavyosikiliza kwa makini, ndivyo mtakavyoelewa na kuzidi kuelewa.
Chunguza Marko 4:24
5
Marko 4:26-27
Yesu akasema, “Hivi ndivyo Ufalme wa Mungu unavyofanana: Mtu mmoja alitoka kwenda kupanda mbegu zake katika udongo shambani. Usiku alienda kulala na asubuhi aliamka na zile mbegu zikiota na kukua; na hakujua jinsi gani hiyo ilifanyika.
Chunguza Marko 4:26-27
6
Marko 4:23
Yeyote mwenye masikio mazuri ni bora asikie.”
Chunguza Marko 4:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video