1
Marko 9:23
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yesu akamwambia, “Una maana gani kusema ‘ikiwa unaweza’? Kila kitu kinawezekana kwake yeye anayeamini.”
Linganisha
Chunguza Marko 9:23
2
Marko 9:24
Mara, babaye yule mvulana alilia kwa sauti kubwa na kusema, “Naamini! Nisaidie kutokuamini kwangu.”
Chunguza Marko 9:24
3
Marko 9:28-29
Baada ya Yesu kuingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuuliza wakiwa peke yao, “Kwa nini sisi hatukuweza kumfukuza pepo yule?” Naye akawaambia, “Aina hii haiwezi kutoka isipokuwa kwa maombi.”
Chunguza Marko 9:28-29
4
Marko 9:50
Chumvi ni njema. Lakini ikiwa chumvi itaharibika, utawezaje kuifanya chumvi tena? Muwe na chumvi miongoni mwenu na muishi kwa amani ninyi kwa ninyi.”
Chunguza Marko 9:50
5
Marko 9:37
“Yeyote atakayemkaribisha mtoto mdogo kama huyu hapa kwa sababu ya jina langu basi ananikaribisha na mimi pia. Yeyote anayenikubali mimi hanikubali mimi tu bali anamkubali pia yeye aliyenituma.”
Chunguza Marko 9:37
6
Marko 9:41
Yeyote anayewapa ninyi kikombe cha maji kwa sababu ninyi ni wake Kristo. Hakika ninawaambia ukweli kwamba, hatapoteza thawabu yake.
Chunguza Marko 9:41
7
Marko 9:42
Yeyote anayemsababisha mmoja wa hawa walio wadogo ambao wananiamini mimi kujikwaa na kuanguka, itakuwa bora kwake ikiwa atatupwa baharini huku amefungwa jiwe la kusagia shingoni mwake.
Chunguza Marko 9:42
8
Marko 9:47
Na kama jicho lako litakusababisha ufanye dhambi, liondoe. Ni bora uingie katika Ufalme wa Mungu ukiwa na jicho moja kuliko kuwa nayo macho mawili na kutupwa Jehanamu
Chunguza Marko 9:47
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video