1
Marko MT. 10:45
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Kwa maana Mwana wa Adamu nae hakuja kukhudumiwa bali kukhudumu, na kutoa roho yake iwe dia ya wengi.
Linganisha
Chunguza Marko MT. 10:45
2
Marko MT. 10:27
Yesu akawakazia macho, akanena, Kwa wana Adamu haiwezekani, bali kwa Mungu sivyo; maana yote yawezekana kwa Mungu.
Chunguza Marko MT. 10:27
3
Marko MT. 10:52
Yesu akamwambia, Enenda zako, imani yako imekuponya. Marra akapata kuona tena; akafuata Yesu njiani.
Chunguza Marko MT. 10:52
4
Marko MT. 10:9
Bassi alivyoviunganisha Mungu, mwana Adamu asivitenganishe.
Chunguza Marko MT. 10:9
5
Marko MT. 10:21
Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa neno moja Enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni: ukiisha, njoo ukajitwike msalaba wako unifuate.
Chunguza Marko MT. 10:21
6
Marko MT. 10:51
Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyieni? Yule kipofu akamwambia, Rabbi, nipate kuona tena.
Chunguza Marko MT. 10:51
7
Marko MT. 10:43
Lakini haitakuwa hivi kwemi; bali mtu atakae kuwa mkubwa kwenu, atakuwa mkhudumu wenu
Chunguza Marko MT. 10:43
8
Marko MT. 10:15
Amin, nawaambieni, Yeye yote asiyeukubali nfalme wa Mungu kama mtoto mchanga hatauingia kabisa.
Chunguza Marko MT. 10:15
9
Marko MT. 10:31
Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho: na wa mwisho wa kwanza.
Chunguza Marko MT. 10:31
10
Marko MT. 10:6-8
Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, Mungu aliwafanya mtu mume na mtu mke. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe: na hawo wawili watakuwa mwili mmoja; hatta wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.
Chunguza Marko MT. 10:6-8
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video