1
Marko MT. 9:23
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Yesu akamwambia, Ukiweza kuamini: yote yawezekana kwake aaminiye.
Linganisha
Chunguza Marko MT. 9:23
2
Marko MT. 9:24
Marra baba yake yule kijana akapaaza sauti, machozi yakimtoka, akanena, Naamini, Bwana, nisaidie kutokuamini kwangu.
Chunguza Marko MT. 9:24
3
Marko MT. 9:28-29
Hatta alipoingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kwa faragha, Mbona sisi hatukuweza kumfukuza? Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lo lote, isipokuwa kwa kusali na kufunga.
Chunguza Marko MT. 9:28-29
4
Marko MT. 9:50
Chumvi ni njema; lakini chumvi ikitokwa na ladhdha yake, mtaitia nini ikolee? Mwe na chumvi ndani yenu, mkakae kwa amani ninyi kwa ninyi.
Chunguza Marko MT. 9:50
5
Marko MT. 9:37
Mtu akimpokea kitoto kimoja wa namna hii kwa jina langu, anipokea mimi: na mtu akinipokea mimi, hanipokei mimi, bali yeye aliyenituma.
Chunguza Marko MT. 9:37
6
Marko MT. 9:41
Kwa kuwa ye yote atakaewanywesha ninyi kikombe cha maji kwa jina langu, kwa kuwa ninyi watu wa Kristo, amin nawaambieni hatakosa thawabu yake.
Chunguza Marko MT. 9:41
7
Marko MT. 9:42
Na ye yote atakaemkosesha mmoja katika wadogo hawa waniaminio, afadhali afungiwe jiwe la kusagia shingoni mwake, na kutupwa baharini.
Chunguza Marko MT. 9:42
8
Marko MT. 9:47
Na jicho lako likikukosesha, litupe: ni kheri kuingia katika ufalme wa Mungu, una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehannum ya moto
Chunguza Marko MT. 9:47
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video