1
Marko MT. 5:34
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akamwambia, Binti imani yako imekuponya, enenda zako kwa amani, ukawe mzima, usiwe na msiba wako tena.
Linganisha
Chunguza Marko MT. 5:34
2
Marko MT. 5:25-26
Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka thenashara, na kuteswa mengi kwa mikono ya tabibu wengi, akagharimu vitu vyote alivyo navyo, kusimfae hatta kidogo, bali hali yake ilizidi kuwa mbaya
Chunguza Marko MT. 5:25-26
3
Marko MT. 5:29
Marra chemchemi ya damu yake ikakauka, akafahamu mwilini mwake kwamba amepona msiba ule.
Chunguza Marko MT. 5:29
4
Marko MT. 5:41
Akamshika mkono yule kijana, akamwambla, Talitha, kumi: tafsiri yake, Kijana, nakuambia, Ondoka.
Chunguza Marko MT. 5:41
5
Marko MT. 5:35-36
Hatta alipokuwa akisema wakaja watu kutoka kwa mkuu wa sunagogi, wakinena, Binti yako amekwisha kufa: ya nini kuzidi kumsumbua mwalimu? Yesu, marra alipolisikia lile neno likinenwa, akamwambia mkuu wa sunagogi, Usiogope, amini tu.
Chunguza Marko MT. 5:35-36
6
Marko MT. 5:8-9
Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu. Akamwambia, Jina lako nani? Akajibu, akamwambia, Jina langu Legioni: kwa kuwa tu wengi.
Chunguza Marko MT. 5:8-9
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video