1
Marko MT. 4:39-40
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
Akaamka: akaukemea upepo, akaiambia bahari, Nyamaza, tulia. Upepo nkakoma, kukuwa shwari kuu. Akawaambia, Mbona mu waoga? Hamna imani bado?
Linganisha
Chunguza Marko MT. 4:39-40
2
Marko MT. 4:41
Wakaingizwa na khofu kuu, wakaambiana, Ni nani huyu, bassi, hatta upepo na bahari zamtii?
Chunguza Marko MT. 4:41
3
Marko MT. 4:38
Yeye mwenyewe alikuwa katika shetri, amelala juu ya mto: wakamwamsha, wakamwambia, Mwalimu, si kitu kwako kuwa tunapotea?
Chunguza Marko MT. 4:38
4
Marko MT. 4:24
Akawaambia, Tafakarini msikialo, kipimo mpimacho mtapimiwa kile kile, na bado mtazidishiwa.
Chunguza Marko MT. 4:24
5
Marko MT. 4:26-27
Akanena, Ufalme wa Mungu, mithili yake ni mtu aliyemwaga mbegu juu ya inchi: akawa akilala na kuondoka, usiku na mchana, nayo mbegu ikimea na kukua, asivyojua yeye.
Chunguza Marko MT. 4:26-27
6
Marko MT. 4:23
Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.
Chunguza Marko MT. 4:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video