1
2 Mose 22:22-23
Swahili Roehl Bible 1937
Mjane au mtoto aliyefiwa na wazazi usimtese! Utakapomtesa atanililia mimi, mimi nami nitakisikia vema kilio chake.
Linganisha
Chunguza 2 Mose 22:22-23
2
2 Mose 22:21
Mgeni usimwonee wala usimkorofishe! Kwani nanyi mlikuwa wageni katika nchi ya Misri.
Chunguza 2 Mose 22:21
3
2 Mose 22:18
Mwanamke mlozi usimwache, awepo!
Chunguza 2 Mose 22:18
4
2 Mose 22:25
Ukiwakopesha fedha watu wa ukoo wangu, wakikaa kwako wenye ukosefu, usiwawie kama wakopeshaji wengine, ni kwamba: Msiwatoze faida kubwa za kukopesha!
Chunguza 2 Mose 22:25
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video