1
1 Mose 30:22
Swahili Roehl Bible 1937
Ndipo, Mungu alipomkumbuka Raheli, Mungu akamsikia, akalifungua tumbo lake.
Linganisha
Chunguza 1 Mose 30:22
2
1 Mose 30:24
akamwita jina lake Yosefu (Huongeza) akisema: Bwana aniongezee mwana mwingine!
Chunguza 1 Mose 30:24
3
1 Mose 30:23
Kwa hiyo naye akapata mimba, akazaa mtoto mume, akasema: Mungu ameniondolea yaliyonitia soni
Chunguza 1 Mose 30:23
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video