1
Amosi 5:24
Biblia Habari Njema
Lakini acheni haki itiririke kama maji, uadilifu uwe kama mto usiokauka.
Linganisha
Chunguza Amosi 5:24
2
Amosi 5:14
Tafuteni kutenda mema na si mabaya, ili nyinyi mpate kuishi naye Mwenyezi-Mungu wa majeshi awe pamoja nanyi kama mnavyosema.
Chunguza Amosi 5:14
3
Amosi 5:15
Chukieni uovu, pendeni wema, na kudumisha haki mahakamani. Yamkini Mwenyezi-Mungu wa majeshi atawafadhili watu wa Yosefu waliobaki.
Chunguza Amosi 5:15
4
Amosi 5:4
Mwenyezi-Mungu awaambia hivi Waisraeli: “Nitafuteni mimi nanyi mtaishi!
Chunguza Amosi 5:4
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video