“Kama vile mvua na theluji ishukavyo toka mbinguni,
wala hairudi huko bali huinywesha ardhi,
ikaifanya ichipue mimea ikakua,
ikampatia mpanzi mbegu na kuwapa watu chakula,
vivyo hivyo na neno langu mimi:
Halitanirudia bila mafanikio,
bali litatekeleza matakwa yangu,
litafanikiwa lengo nililoliwekea.