1
Zaburi 66:18
Biblia Habari Njema
Kama ningalinuia maovu moyoni, Mwenyezi-Mungu hangalinisikiliza.
Linganisha
Chunguza Zaburi 66:18
2
Zaburi 66:20
Asifiwe Mungu, maana hakuikataa sala yangu, wala kuondoa fadhili zake kwangu.
Chunguza Zaburi 66:20
3
Zaburi 66:3
Mwambieni Mungu: “Matendo yako ni ya ajabu mno! Nguvu zako ni kubwa mno hata maadui zako wanajikunyata kwa hofu.
Chunguza Zaburi 66:3
4
Zaburi 66:1-2
Enyi watu wote duniani mshangilieni Mungu! Imbeni juu ya utukufu wa jina lake, mtoleeni sifa tukufu!
Chunguza Zaburi 66:1-2
5
Zaburi 66:10
Umetupima, ee Mungu, umetujaribu kama madini motoni.
Chunguza Zaburi 66:10
6
Zaburi 66:16
Enyi mnaomcha Mungu, njoni nyote mkasikilize, nami nitawasimulieni aliyonitendea.
Chunguza Zaburi 66:16
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video