Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 3:28

Danieli 3:28 NEN

Ndipo Nebukadneza akasema, “Ahimidiwe Mungu wa Shadraki, Meshaki na Abednego, ambaye amemtuma malaika wake na kuwaokoa watumishi wake. Walimtumaini na kukaidi amri ya mfalme, nao wakawa tayari kufa kuliko kutumikia au kuabudu mungu mwingine yeyote isipokuwa Mungu wao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 3:28