Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 3:28

Dan 3:28 SUV

Nebukadreza akanena, akasema, Na ahimidiwe Mungu wa Shadraka, na Meshaki, na Abednego; aliyemtuma malaika wake, akawaokoa watumishi wake waliomtumaini, wakaligeuza neno la mfalme, na kujitoa miili yao ili wasimtumikie mungu mwingine, wala kumwabudu, ila Mungu wao wenyewe.

Soma Dan 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 3:28