Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 26:4-5

Mwanzo 26:4-5 NEN

Nitafanya wazao wako kuwa wengi kama nyota za angani, nami nitawapa nchi hizi zote na kutokana na uzao wako mataifa yote yatabarikiwa, kwa sababu Abrahamu alinitii mimi akatunza kanuni zangu na maagizo yangu, amri zangu pamoja na sheria zangu.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 26:4-5