Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 26:4-5

Mwa 26:4-5 SUV

Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia. Kwa sababu Ibrahimu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, na amri zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu.

Soma Mwa 26

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 26:4-5