Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 12:35-36

Yohana 12:35-36 NEN

Ndipo Yesu akawaambia, “Bado kitambo kidogo nuru ingalipo pamoja nanyi. Enendeni maadamu mna nuru, msije mkakumbwa na giza. Mtu anayetembea gizani hajui anakokwenda. Wekeni tumaini lenu katika nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru.” Baada ya kusema haya, Yesu aliondoka, akajificha wasimwone.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 12:35-36