Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 12:35-36

Yn 12:35-36 SUV

Basi Yesu akawaambia, Nuru ingaliko pamoja nanyi muda kidogo. Enendeni maadamu mnayo nuru hiyo, giza lisije likawaweza; maana aendaye gizani hajui aendako. Maadamu mnayo nuru, iaminini nuru hiyo, ili mpate kuwa wana wa nuru. Hayo aliyasema Yesu, akaenda zake, akajificha wasimwone.

Soma Yn 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 12:35-36