Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohane 12:35-36

Yohane 12:35-36 BHN

Yesu akawaambia, “Mwanga bado uko nanyi kwa muda mfupi. Tembeeni mngali mnao huo mwanga ili giza lisiwapate; maana atembeaye gizani hajui aendako. Basi, wakati mnao huo mwanga uaminini ili mpate kuwa watu wa mwanga.” Baada ya kusema maneno hayo, Yesu alikwenda zake na kujificha mbali nao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohane 12:35-36