Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 27:33-34

Mathayo 27:33-34 NENO

Wakafika mahali palipoitwa Golgotha (maana yake ni Mahali pa Fuvu la Kichwa). Hapo wakampa Isa divai iliyochanganywa na nyongo ili anywe; lakini alipoionja, akakataa kuinywa.