Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 137:1-4

Zaburi 137:1-4 NEN

Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza tulipokumbuka Sayuni. Kwenye miti ya huko tulitundika vinubi vyetu, kwa maana huko hao waliotuteka walitaka tuwaimbie nyimbo, watesi wetu walidai nyimbo za furaha; walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!” Tutaimbaje nyimbo za BWANA, tukiwa nchi ya kigeni?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 137:1-4