Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 137:1-4

Zab 137:1-4 SUV

Kando ya mito ya Babeli ndiko tulikoketi, Tukalia tulipoikumbuka Sayuni. Katika miti iliyo katikati yake Tulivitundika vinubi vyetu. Maana huko waliotuchukua mateka Walitaka tuwaimbie; Na waliotuonea walitaka furaha; Tuimbieni baadhi ya nyimbo za Sayuni. Tuuimbeje wimbo wa BWANA Katika nchi ya ugeni?

Soma Zab 137

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 137:1-4