Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:1-3

Warumi 1:1-3 NEN

Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu, Injili ambayo Mungu alitangulia kuiahidi kwa vinywa vya manabii wake katika Maandiko Matakatifu, yaani, Injili inayomhusu Mwanawe, yeye ambaye kwa uzao wa mwili alikuwa mzao wa Daudi

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:1-3