Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 1:1-3

Rum 1:1-3 SUV

Paulo, mtumwa wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume, na kutengwa aihubiri Injili ya Mungu; ambayo Mungu amekwisha kuiahidi kwa kinywa cha manabii wake katika maandiko matakatifu; yaani, habari za Mwanawe, aliyezaliwa katika ukoo wa Daudi kwa jinsi ya mwili

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 1:1-3