Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:1-3

Warumi 1:1-3 SRUV

Paulo, mtumwa wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume, na kutengwa aihubiri Injili ya Mungu; ambayo Mungu amekwisha kuiahidi kwa kinywa cha manabii wake katika Maandiko Matakatifu; yaani, habari za Mwanawe, aliyezaliwa katika ukoo wa Daudi kwa jinsi ya mwili

Soma Warumi 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:1-3