Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Fal 19:21

1 Fal 19:21 SUV

Akarudi akiacha kumfuata, akatwaa lile jozi la ng’ombe, akawachinja, akatokosa nyama zao kwa ile miti ya ng’ombe, akawapa watu, wakala. Kisha akainuka, akamfuata Eliya, akamhudumia.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Fal 19:21