Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ebr 13:15-16

Ebr 13:15-16 SUV

Basi, kwa njia yake yeye, na tumpe Mungu dhabihu ya sifa daima, yaani, tunda la midomo iliungamayo jina lake. Lakini msisahau kutenda mema na kushirikiana; maana sadaka kama hizi ndizo zimpendezazo Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ebr 13:15-16