Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hos 2:15

Hos 2:15 SUV

Nami nitampa mashamba yake ya mizabibu toka huko, na bonde la Akori kuwa mlango wa tumaini; naye ataniitikia huko, kama siku zile za ujana wake, na kama siku ile alipopanda kutoka nchi ya Misri.

Soma Hos 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hos 2:15