Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 2:15

Hosea 2:15 SRUV

Nami nitampa mashamba yake ya mizabibu toka huko, na bonde la Akori kuwa mlango wa tumaini; naye ataniitikia huko, kama siku zile za ujana wake, na kama siku ile alipopanda kutoka nchi ya Misri.

Soma Hosea 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 2:15